EAN: 9783730820230

Bilder-Quelle: shopping24.de – Sport
Chloe atahamia Zanzibar kwasababu mama yake ataanza kufanya kazi kisiwani hapo kama mwanabiolijia wa sayansi za bahari. Mara tu atakapowasili Chloe ataanza kutembelea ulimwengu wa chini ya maji pamoja na mwanafunzi mwenzake mpya Amo. Walipokua wanaogelea baharini walikutana na nguva aliyeitwa Nya. Akawaonyesha nyumbani kwake - uwanda wa majani bahari unaoundwa na majani mabichi manene hadi macho yanapoweza kuona. Katikati ya maji wanaona Wanyama wa kila aina ya rangi. Chloe na Amo wanavutiwa mara moja na maajabu haya ya chini ya maji. Hata hivyo wanaporudi wiki chache baadaye kwenye ufuo huo baada ya majira ya joto kali nyasi za baharini zimetoweka pamoja na rafiki yao Nya. Lilibakia jangwa la mchanga tu. Ni nini kilitokea na wanaweza kufanya nini? Chloe na Amo wakajipanga kurudisha msitu wao wa chini ya maji.
Produktinformationen zuletzt aktualisiert am
28.03.2025 um 02:06 Uhr


Hersteller
-
EAN
9783730820230
MPN
-
ASIN
-
Produktgruppe
-

Produktzustand:

Verfügbarkeit:

Versandkosten:

Sonderpreis:

Loading
Sie sind Shopbetreiber? Listen Sie ganz einfach Ihre Produkte hier bei uns im Portal >>>